Hunter hunted - Simba agonga mwamba kwa nyati

Huyo ni simba dume, madume ya simba sio wawindaji, hayana skills za kuwinda. Fuatilieni vizuri, majike ndio yanayowinda na madume huja kula na ajabu hujifanya makali hadi kuyafukuza majike!

Mkuu fuatilia vizuri pia, hata simba jike wanauawa na nyati..! Wawindaji wanajua, nyati ni mnyama hatari sana porini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…