Hunter hunted - Simba agonga mwamba kwa nyati

Video yenyewe imetoka Nat Geo Wild tena nimeingalia juzi usiku.

Ili nawewe Ukaiuze Nat Geo wild ili upate mijihela zaidi,kweli mjini shule kila kitu dili
 
Huyo simba alishachoka na maisha yaani hadi nyati jike amemvimbia kiasi hicho mpaka ame "mdedisha"!
 
Siku zote timu ya simba ndio huwa inafanikiwa kumdhibiti nyati mmoja,tofauti na hapo,haiwezekani.

Nyati ndiye mnyama chaguo la mwisho kuliwa na simba,baada ya wengine kutoonekana,maana shughuli ya kumuangusha simba wanaijua.

Na katika hali kama picha inavyoonekana ni kwamba,nyati nayeye anakuwa alikuwa amepania kumuua simba,yaan unakuta simba anjaribu kukimbia lakini jamaa hampi nafasi,sio kwamba simba alikuwa anataka kumshika nyati/hawezi jaribu akiwa peke yake,ni kama ajari anajikuta kizuizini.
 
Huyo nyati atakuwa shabiki wa Yanga...
 
Mbogo huwa hana mchezo simba mmoja hawezi kumuua lazma waje wa4 mpka wa5 ndio wamuweze mbogo
 

Mpwa naifahamu ile video aiseee, simba alichezea kichapo cha haja, walimrusha juu kama mpira wa kona halafu wanapeana zamu ya kupiga
 
Huyu simba kwa kumtazama tu......ni bado mdogo.......kwa makadirio ana miezi kadhaa kuelekea mwaka........simba huwa ma maumbo makubwa kadiri wanavyokua.........so atakuwa ni dogo katika jitihada za kupanua mbavu.......akachezea balaa nyati tornado ......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…