Huniridhishi mume wangu

Nmecheka hapo mwishon, , kuna baba mmoja alikua na mtoto anamiaka mitano, siku moja alifajiri baba akiwa amechelewa kuamka, alipoamka kwa dirishan akamuona mtoto wake mpendwa anachezea gar lake misili kama analikwaruza na chuma.

Yule baba alimwita mtoto, akaanza kumpiga, alimpigaa, alimpiga, hata akahakikisha vidole vya mikonon vimepata majaraha.

Majiran wakaingilia,nakumwokoa mtoto ambako alipelekwa hospital na ikaonekana lazima akatwe vidole vyote vya mkono wa Kulia

Huku nyumban , Baba akaamua kwenda kuona gar lake lilivyoumizwa, alipofika akakuta kuna maandishi ya Mkaa , alipojaribu kuyasoma akakuta yanasomeka ivi
[emoji117] * FATHER ,I LOVE YOU SO MUCH*.


NAHUJA
 
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› Tutor B ana mambo kweli. hahahahahahahahaha
 
Unanilainisha roho? Asubiri aone, kesho atakwambia mkuu ..yaani ... we acha tu!
 
Unanilainisha roho? Asubiri aone, kesho atakwambia mkuu ..yaani ... we acha tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…