Huniridhishi mume wangu

Yale unayohisi hayawezekani ndo yanawezekana kwa mwenye kutafakari.
 
Aaahhh sawa mkuu wacha wenye kutafakari muendelee kutafakar nakuyafanya yaonekane yanawezekana[emoji119]
Alijiuliza ..
Niachane na la-azizi wangu? ....jibu kalipata
Nimtimue dereve? .... jibu kalipata
Alipofanya mlinganyo ndo akaibuka na majibu yanayokutatanisha. ... hata huyu aliyekufuata PM hata mimi tayari natafakari la kufanya ...
Niachane na JF?
NIachane naye?
Majibu nikipata ... utaona mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…