Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,375
- 56,096
- Thread starter
- #41
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] uko sawa kabisaa!!100%true!!Yes! Watu wengi sana wame umizwa na marafiki wakidhani marafiki hao kujua kila kitu kuhusu wao ndio urafiki wenyewe.
Kuna vitu anafaa wajue madaktari wako tu, vingine ajue mpenzi wako tu, vingine wajue watu wa serikali tu, vingie wajue viongozi wako wa dini tu na vichache sana wajue marafiki.
Sasa watu huwa wana fanya vice versa
Lazma ile kwako sku yakitokea ya kutokea
Hii inafanya wengi waniotee otee tuu!!