Hunijui sikujui inakuaje unanichokoa chokoa

Hunijui sikujui inakuaje unanichokoa chokoa

mkuu kumpiga mtu si ngumi tuu, hata kwa akili pia, wapo watu akili nyingi na hukaa kimya kimya hivi, ila ukiingia ktk kumi na nane zako wala hakugusi ila utashangaa mambo yako ghafla tu uko chali
Hiyo nzuri hyoo!unampiga kisaikolojia mpk anajuta!
 
Kabisaaa
Kuna watu wana gubu ka nini!! Hao ndo walivyo wala wasikuumize kichwa, kama hujamkosea akavimbisha mashavu we mpuuze!! Kuna watu kununa ndo starehe yao!!
[emoji1] [emoji1] kugombana kwao ibada hawaishi bila ugomvi
 
Kwenye maisha ukiwa na kanuni ya kutulia na kunyamaza na kujali mambo yako zaidi. Hakuna atakaye kuzingua hata akiona anaongea sana wewe unampuuzia tuu ata acha mwenyewe.
Self discpline na self respect ni muhimu sana kwenye maisha
 
Kabisaa my brother!!!mwisho atajiona mjinga mwenyewe huyo mfitini!
 
Kwenye maisha ukiwa na kanuni ya kutulia na kunyamaza na kujali mambo yako zaidi. Hakuna atakaye kuzingua hata akiona anaongea sana wewe unampuuzia tuu ata acha mwenyewe.
Self discpline na self respect ni muhimu sana kwenye maisha
Ewaaaaa
Ukishakuwa kimya inatosha kabisaaa!!
 
Eeeh
Japo kuna ishu umeongelea kuhusu marafiki yeah sometimes huwa tuna disclose info zetu nyingi mno kwa marafiki
Hili nalo si jema
Tuna aminiana kupita kiasi. Tunasahau information is power
Yaani Mimi ukiwa rafiki yangu ukatoa siri zangu nikasikia!!jua I won't forgive u na sitakaa nikuamini tena!!

Na kwanza simuamini binadamu 100%kwa kweli nna siri zangu nnazo mwenyewe tu ntakufa nazo!
 
Watu kama hao unawadharau tu..haina haja ya kujibizanna nao
 
Yaani Mimi ukiwa rafiki yangu ukatoa siri zangu nikasikia!!jua I won't forgive u na sitakaa nikuamini tena!!

Na kwanza simuamini binadamu 100%kwa kweli nna siri zangu nnazo mwenyewe tu ntakufa nazo!
Yes! Watu wengi sana wame umizwa na marafiki wakidhani marafiki hao kujua kila kitu kuhusu wao ndio urafiki wenyewe.
Kuna vitu anafaa wajue madaktari wako tu, vingine ajue mpenzi wako tu, vingine wajue watu wa serikali tu, vingie wajue viongozi wako wa dini tu na vichache sana wajue marafiki.
Sasa watu huwa wana fanya vice versa
Lazma ile kwako sku yakitokea ya kutokea
 
Back
Top Bottom