Hundreds of new members continue to join CHADEMA

Corrections sir, the words you need here should be these: "Rot in pieces ccm, we'll never miss you"
Fabulous!
Kiranga uko sawa!
Hayo matumaini ya Wananchi kwa cdm ni ya juu mno na cdm wasitazame kwa jicho la ndege matunda ya Movement zao! Sambamba na kuwapokea wanachama hao, wanatakiwa kuanza kupanga program za maendeleo kwa kuangalia kila eneo na uhitaji wake.
Vinginevyo mchezo utakuwa kuhama to and fro kati ya vyama!
 
Last edited by a moderator:
Fri, Aug 24th, 2012

Tanzania |

By Teonas Aswile

Different Morogoro residents have continued to join in Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA blaming that the ruling party has failed to lead them into a better life.

One-of-CHADEMA-Morogoro-meetings.jpg

One of CHADEMA Morogoro meetings

Speaking to one of
Dar es Salaam based TV station today afternoon, Coordinator of Movement for Change M4C; Benson Kigaila said their routes to different villages have been stopped for a while by villagers who ask for membership IDs and reporting to them their challenges.

“Many villagers blame that development projects promised by the ruling party have not been fulfilled hence they have decided to join CHADEMA.”

He said they are sure if all residents understand their call, M4C will be a real successful campaign towards their plans of winning 2015 general election.

Nape bado idadi ya wanachama wa ccm ni 5mil?
 
Ninajiona Mwenye Bahati sana, na Baraka kwani kazi nzuri niliyoanzisha, ninaona matunda makubwa katika ukombozi wa Taifa langu la Tanzania.

Kwanini watanzania waaminishwe eti, "CCM ni Mama Yao na Baba Yao"? CCM ya sasa si lolote, wala si chochote bali ni genge la wahuni wachache wanaopigana vijembe, wanaochukiana kwa kuwa wamezidiana kwenye 10% kwenye 'tender' kadha wa kadha iwe ye Richmond, Buzwagi, IPTL, Songas, TANROADS, Ziwa Victoria Basin, Stakabadhi Galani, EPA, Maliasili, Gesi ya Mtwara na Lindi, Tanzanite, na uchafu mwingine Mwingi.

Nimefika mahali ninaamini, kazi ya CHADEMA ni mpango wa Mungu wa kuliokoa Taifa letu toka mikononi mwa wachache wanaoamini familia zao ni muhimu kuliko mamilioni ya watanzania wanaoteseka kwa kuwa umasikini wa kipato, na ukosefu wa mahitaji ya lazima katika maisha yao ya kila siku unawapiga chenga.

Na kamwe hila zote zinazopangwa na CCM dhidi ya CHADEMA hazitazaa matunda kwani mpango wake mola wa kuiondoa CCM madarakani upo pale pale. 2015 kwa CCM ni mwaka wa kiama, watapigana huko ndani kwa ajili ya urais ili waendelee kugawana rasilimali za nchi vizuri ili wapate fedha za mashangazi, wajomba, vilembwe, majirani zao, kwani fedha za urithi wa watoto wao, wajukuu zao, wake zao, mashemeji, na wapambe zimeshapatikana za kutosha.

Watanzania tuhamasishe kuondoka kwa CCM madarakani, na ninaomba watanzania mbalimbali mjitokeze kugombea nafasi za uongozi kwa kupitia CHADEMA, kwa kufanya hivyo mtadhibiti pia wizi wa kura za chama chetu.

Vua Gamba, Vaa Gwanda na Tanzania Bila CCM ni Matumaini ya Taifa Jipya na Mwisho wa Wizi bila hofu ya Mungu.
 
Kamanda bg up xana
 
Kwahiyo kwa kujiunga na Chadema ndo watapata maendeleo kweli wamepotea njia tena wameingia chaka baya ni ndoto za mchana tena za mtoto kudhania Chadema wakipewa nchi watatimiliza hizo ndoto haiwezekani na HAWAWEZI na HAWATOWEZA ni ahadi HEWA tena chafu!
Ni ndoto zinazowezekana and I'm very sure wataweza as long as viongozi wa cdm wanatanguliza uzalendo na commitment. Note: hata ccm wangekuwa wazalendo wangeweza but it's too late kufanya mabiliko yyt sahihi kwa sasa
 
Kwahiyo kwa kujiunga na Chadema ndo watapata maendeleo kweli wamepotea njia tena wameingia chaka baya ni ndoto za mchana tena za mtoto kudhania Chadema wakipewa nchi watatimiliza hizo ndoto haiwezekani na HAWAWEZI na HAWATOWEZA ni ahadi HEWA tena chafu!

Mkuu maneno yako yanaonyesha wazi kukiri kushindwa kwa CCM. Si mbaya wengine nao kujaribu, kwani toka TANU hadi CCM hakuna aliyekuwa na uwezo wa kutawala, cha msingi msiingilie will ya watu.

Kwa CDM, huu ni wakati wa kuonyesha kwa nini mpewe dola. Naamini TZ yetu leo imeshindwa kutokana na kukosekana na uzalenda, ubunifu na kuunganisha nguvu za watu vizuri. Wakati ni wenu sasa wa kuunganisha nyomi hii ijiletee maendeleo yenyewe, maana ndo njia pekee!!

Watu wa ivjijini wamekosa muelekeo maana wanaamini viongozi ndo wanapaswa kuwaendeleleza, wakati kinachotakiwa ni kuunganisha nguvu zao kwa ajili yao wenyewe!!! go CDM go...
 
Nina hamu ya kuona idadi ya watu katika mikutano ya ccm kipindi hiki. Kwa mliona, hivi huwa inakuwa imehudhuriwa na watu wangapi? Achilia mbali ile ya Nape maeneo ya stand/sokoni
 
Nina hamu ya kuona idadi ya watu katika mikutano ya ccm kipindi hiki. Kwa mliona, hivi huwa inakuwa imehudhuriwa na watu wangapi? Achilia mbali ile ya Nape maeneo ya stand/sokoni
CCM hata wakiweka ubwabwa watu hawaendi
 
Vyama vya kisiasa hushinda chaguzi kutokana na chama kuaminiwa mfano hapa Tanzania ni CHADEMA ndicho chama kinaaminiwa kama mtetezi wa watu wasio na sauti na pia ni tumaini jipya kwa wananchi wawe ni wanachama wa CHADEMA au bila chama. Pia hata wana-CCM wanyonge wanakubali kuwa CHADEMA inaleta tumaini jipya hivyo usishangae pia wanachama wa CCM (wale ambao CCM siyo baba/mama) kuipa kura CHADEMA.

Kimsingi hapa ni CHADEMA kuendelea kutoa somo kwa wananchi mpaka kielewekw maana ukiona matatizo na changamoto zinazowakabili wananchi vijijini na mijini, wananchi wanazipeleka CHADEMA wakiamini kuwa hoja hizo zitafanyiwa kazi basi hizo ni dalili tosha CHADEMA kuchukua nchi kupitia sanduku la kura mwaka 2015.

Zaidi ya kutoa somo, CHADEMA inabidi ijifunze.
 
Kwahiyo kwa kujiunga na Chadema ndo watapata maendeleo kweli wamepotea njia tena wameingia chaka baya ni ndoto za mchana tena za mtoto kudhania Chadema wakipewa nchi watatimiliza hizo ndoto haiwezekani na HAWAWEZI na HAWATOWEZA ni ahadi HEWA tena chafu!
Ahadi hewa ni zile zilizotolewa na gamba ccm la kuwapa watu wote maisha bora wakaambulia kupata maisha duni na umaskini unaonuka wakati viongozi wa ccm wakila maraha kwa kodi za wanyonge walio hoi bin taaban. Upende usipende CHADEMA ni mkombozi wa wanyonge hao. 2015 ni mwaka wa huzuni kwa magamba, kutakuwa na mazishi ya ccm!! Viva M4C!!!!!!!!
 
Hivi ww nngu007 si upo kundi la akina Ritz, Mkigoma nk sasa imekuwaje tena?. Anyway tunawakaribisha wote wasafi ila hatutaki uchafu.

UMENIWEKA KUNDI LIPI HILO? TANGU LINI? NA KWA MAADILI GANI? Nileze Mwananchi Unayejua Mengi...
 
Mkuu James Millya,
Heshima mbele. Nilikuwa sijui kama upo humu JF. Pamoja!

TUMBIRI (PhD - In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd[/SUP] Overall Best Student inForm six National Exams).
tumbiri@jamiiforums.com
 
TUSUBILI TUONE!! Lakini kwa habali za magazeti kiongozi wa chadema mkoani humo amejiuzulu kwasababu nyingi tu!
 
Back
Top Bottom