Hundreds of new members continue to join CHADEMA

Maarifa yanaingia Moro. CCM wanahaha, wanaandikisha Bodaboda na kuwa rubuni watawapatia piki. Sijui walikuwa wapi. Niliwakamata live leo.
 
Kwahiyo kwa kujiunga na Chadema ndo watapata maendeleo kweli wamepotea njia tena wameingia chaka baya ni ndoto za mchana tena za mtoto kudhania Chadema wakipewa nchi watatimiliza hizo ndoto haiwezekani na HAWAWEZI na HAWATOWEZA ni ahadi HEWA tena chafu!

Haiwezi kufikia kama ya CCM kwa kipindi cha miaka hamsini tuko hapa kimaendeleo pamoja na rasilimali zote. Kama hawataweza itatokana na hujuma zinazoweza kufanywa na CCM vinginevyo wewe suburi utashangaa sana.
 
Maarifa yanaingia Moro. CCM wanahaha, wanaandikisha Bodaboda na kuwa rubuni watawapatia piki. Sijui walikuwa wapi. Niliwakamata live leo.

Unachekesha!!! Labda walikuwa wanapanga mishe mishe za kifisadi si unajua tena?. Kama ni kweli wape pole.
 
Back
Top Bottom