Huna rafiki kazini

Rafiki anapatikana popote uwe kazini, barabarani n.k. Tatizo ni kuwa watu wanawaamini watu kwa kuwa wanafanya kazi Moja au wanakaa pamoja.

Pia uaminifu una kiwango, hata mama yako hutakiwi kumuamini kwa asilimia zote.

Ndege mdinya.
 
Don't trust on anybody,
Everyone leaves you one day,

Love everyone and trust nobody.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…