Huna jipya.

Cruel mpole

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
282
Reaction score
106
Tangu niingie huu ulimwengu,sijawahi kuumia na kukosa raha na amani tangu mpenzi wangu aniambie neno hili"HUNA JIPYA".For sure nimejiona mdogo kama piriton na nahc kama nimeshachuja.SITAKAA NIPENDE WALA KUWAZA MAPENZI TENA.
 
Mkuu hilo ni neno la kawaida sana, kama we ni m/me inawezekana uko sawa kabisa lakini shida iko kwenye mshiko. Yani mshiko wako ni kidogo hauendani na hadhi yake. Kama we ni m/ke kuna uwezekano kuna kitu hujatambua kujiweka sawa,,yani usafi. Hebu jichunguze kwanza kabla ya kukata tamaa.
 
Kweli huna jipya next time kwenye relation jaribu kuwa creative..
 
Tangu niingie huu ulimwengu,sijawahi kuumia na kukosa raha na amani tangu mpenzi wangu aniambie neno hili"HUNA JIPYA".For sure nimejiona mdogo kama piriton na nahc kama nimeshachuja.SITAKAA NIPENDE WALA KUWAZA MAPENZI TENA.

Acha utoto! Unategemea nini kwa wasichana wa siku hizi kizazi cha dot.com! Achana na uzinzi, songa mbele na maisha. maisha siyo mwanamke! Acha ulimbukeni wa K. Ukifika wakati wa kuoa, utampata aliye bora. tatizo mnapenda wahuni wa mijini wanaotafuta maisha kutoka kwa wanaume!
 
Tangu niingie huu ulimwengu,sijawahi kuumia na kukosa raha na amani tangu mpenzi wangu aniambie neno hili"HUNA JIPYA".For sure nimejiona mdogo kama piriton na nahc kama nimeshachuja.SITAKAA NIPENDE WALA KUWAZA MAPENZI TENA.

Tupe undani wa story yako1 Hapa huwezi pata ushauri wa kina!
 
Kweli huna jipya next time kwenye relation jaribu kuwa creative..

tinna, nimetokea kwenye ujana for sometime. Huwa na reflect nyuma na kujiuliza kilichokuwa kinanihangaisha ni nini? Hatukuwa na mambo ya sasa ambapo unaweza pata ushauri kama humu JF. Huyo kijana ni mahangaiko ya dunia , ukubwani atajiona alikuwa anahangaikia nini, just K! maana sidhani kama anataka kuoa! Creativity ili imfikishe wapi na mabinti!
 
inaonekana we ni mjeuri, hata mie ningekwambia" hunajipya" watu wajeuri ni waleta stress kwa mahusiano
 
witch, you are,do u think i mean what i say,crazy,can anybody survive without love,?anyway!it really pains me!

ndo maana mwenzio alikuambia huna jipya. hapo povu la nini? how can someone know that what u're saying is an irony out of context? be rational, dude and stop calling people names.
 
Haha ukwel muchungu but ni dawa...me naona n neno la kawaida tu kwakwel...maana kuna kitu utakua umefanya ndo ukaambiwa ivo!jichunguze
 
inaonekana we ni mjeuri, hata mie ningekwambia" hunajipya" watu wajeuri ni waleta stress kwa mahusiano

avatar yake ni full paradox ndo maana anaishi kiparadox. kaomba ushauri, Howt Lady ka-comment amemtukana. Cruel Mpole ni majanga kwenye relationship.
 
inaonekana we ni mjeuri, hata mie ningekwambia" hunajipya" watu wajeuri ni waleta stress kwa mahusiano

avatar yake ni full paradox. ameomba ushauri, Howt Lady kacomment, katukanwaje? huyu jamaa ni janga kwenye relationship hata kama atampata "ANGEL."
 
Next time mpe password ya ATM card yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…