Humu tunajifunza mini?

Humu tunajifunza mini?

ningekuona una busara na una hekima kama ungesema kwa mifano... lakini hapo naona umebwabwaja tu hujaweka hata uzi mmoja ambao umeona haufai... kuwa great thinker sio tantalila kibao....!!!!
 
Humu kuna mambo mengi ya kujifunza ila inahitaji umakini na kichwa kisafi kupata maarifa sahihi.
 
Kubwa ni mwana JF kujua lengo la kujiunga hapa.Ukiwa na dhamira nzuri, bado utatoka na mengi sana hapa.
Tukijenga dhana ovu, hata vyuo vikuu kuna watu wako kule na nyendo zao hazifanani na elimu zao. Kwa hali hiyo, hatuwezi kugeneralize kwamba tusiende kusoma au tusiende kusomesha wake zetu, ndugu zetu, watoto wetu,wachumba wetu, na wengineo.Tukiwa positive, heshima na hadhi ya jukwaa hili bado itabaki vilevile kama waasisi walivyokusudia.
 
ningekuona una busara na una hekima kama ungesema kwa mifano... lakini hapo naona umebwabwaja tu hujaweka hata uzi mmoja ambao umeona haufai... kuwa great thinker sio tantalila kibao....!!!!
The end 2+2 ni 4. Inawezekana mgeni humu jukwaani umeingia juzijuzi kwa hiyo hujui lilikoanzia na lilipo sasa, mwenye macho haambiwi tazama, unataka mifano! Haya bwana tusiende mbali kasome uzi unasema KWA WALIOWAHI KULALA NA MABEKI 3 WAO TUPENI USHUHUDA,
 
Tuliowahi kukumbushia mpenzi na wapenzi wetu wa zamani tukutane hapa. SASA NENDENI MKASOME COMMENTS NDIYO MTAELEWA NINACHOSEMA.
 
The end 2+2 ni 4. Inawezekana mgeni humu jukwaani umeingia juzijuzi kwa hiyo hujui lilikoanzia na lilipo sasa, mwenye macho haambiwi tazama, unataka mifano! Haya bwana tusiende mbali kasome uzi unasema KWA WALIOWAHI KULALA NA MABEKI 3 WAO TUPENI USHUHUDA,
niambie tatizo la huo uzi... mi naona kuna wanalotaka kujifunza pia... ukiacha hilo mimi sio mgeni angalia profile yako na yangu nahisi utaelewa..!!!
 
Nenda kwenye hizo nyuzi kasome comments, Mzee profile unabadili
 
Humu yote yapo, mazuri na mabaya, wewe tu na uchaguzi wako
 
Back
Top Bottom