Aaah hilo umesema we we mi simooo....jaza ujazwe
Kule haendi mpaka asikie kuna dude laamshwaHahaha.
Nikajua alienda kutuombea wakubwa zake
Mi ni zaidi ya kukumic ila sina namnaMbona umekuwa surprised ndugu!!!!!
Nipooo Mndali jamani, nimekuhamu mnoo
Bamdogo nipogo
Bado simo![]()
![]()
![]()
kaka angu nitakutaja mimiUmenisahau![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahah naona aseeh. Labda watu wanapalilia nini![]()
Ukipiga hiyo siku na kitengo wapewaNipe kitengo basi kudhihirisha hilo pendo
Babu yako sijamwonaBamdogo nipogo
Amina Mndali...Mi ni zaidi ya kukumic ila sina namna
Kama mzima tumshukuru atupae pumzi
Hahaha![]()
Mwambie akae vizuri kuna siku ataamshwa na yey