Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Habari yakoTayari au???!
Nitasahau namna ya kucheza kwaito bhana
Habari yakoTayari au???!
Nitasahau namna ya kucheza kwaito bhana
HahahaYaani hata utambulisho bado. ?? Hakuna ndoa hapo
NzuriHabari yako
Yule ni changamoto@Yezuss yupo wapi? Ila akija mwambie asiniharibie uzi tu
Mshushe tezi dume ili siku ingine asikufoget
Zimefika cha kufanya jiandae tu.
Umetaja futar tumbo limeguruma
MTU mroho utamjua tuyule bado anatafuta michepuko yake aondoke nao@Yezuss yupo wapi? Ila akija mwambie asiniharibie uzi tu
Fuatilia tangazo la mtandao wa .....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Me sipendagi vya kulipia..
![]()
![]()
![]()
Wasiwasi Wa nn thaatha?!Mmh. Na wasiwasi na wewe
Waoooo upooooPoa Poa
Ngoja nikamtambulishemo muchumba
Nzurihabari zenu
Acha hizo bhana!!!!
Nishatema. Yaani nilijua na kabarua tayari kumbe bado? ?? Nimeanza kutia shaka shem