aisee...natamani sana kukumbuka...Hamna sura ngeniiii hapa, wote wenyeji ukiwemo wewe....
Hivi umenisahau au
Hao wengine Sana wamepoa kidogo.Ila wakongwe wa kuanzia 2010 -2006 naona wengi wamezeka bwana.
Nitamsalimia. Nachat naye hapa hahahaha.Msalimie shemeji aseeh
nadhani mimi pia ni mkujichanganya vizuri sana...Tatizo mnataka kufahamina ndugu tuu..
Sasa vale ni dada yako...hutaki kujichanganya ama?
kwendeni huko na kikombe chenu hicho
sina ubavu wa kuwatenga warembo kama nyinyi aiseeYeye ndo katutenga

Hahahaha... wengi wanakun'gon'ga na I'd mpya mpya
nikiwafahamu nitafurahi sana.Nitamwambia huwa anaingia humu Kwa kutegea Sana.Amepotea JF . Aje atusabahi hata one day
Afu huu mjina sijui niliuokota wapi vile...kama jina lake lilivyo
Shikamoo madam SakayoNdo Salam gani hiyo lakini....
Eti Shkamo bhana...... Sitakiiii
Samahani mkuu..sina ubavu wa kuwatenga warembo kama nyinyi aisee![]()
![]()
![]()

Mkuu...nimekuona bana...Nitaje bhana
Mbona umepanic team andunje hahahahakwendeni huko na kikombe chenu hicho