Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Here! We go..!Ziko so strong kama cement ya nyati
Here! We go..!Ziko so strong kama cement ya nyati
Yeye ndo katutengatunakukumbuka sana
kama jina lake lilivyoYeye ndo katutenga
Nitaje bhanaSasa mtu usije ukasema mbona sijatajwa. Mimi sio kompyuta mpakato nihifadhi majina yote
Ulikuwa Unataka kuchepuka sioHahyaaa..
Siondoki tenaaaa!
Mwendo wa verse tuu sasa.
Wewe ushakuwa matawi ya juu siku hizi,sikuwezi....Hivi unajua nakupendaga lakini?
Habari ya Jpili mkuuhehehe
Wahi Wahi
Tuko pamoja madam, nami nakupeza piaNakuhamu ujue
Anamtaka madame B, Vale, Masai dada, cute b, Miss chagga, Ngabu, Preta, Mamndenyi, na Asprin na Lara 1Tatizo mnataka kufahamina ndugu tuu..
Sasa vale ni dada yako...hutaki kujichanganya ama?
Linamo yuko wapi?Hahaha