Humu naomba kitu kimoja

Binti wa Kimasai, ile namba ya tigo bado unayo??
 
Upo kama mimi sema tunatofautiana me na ke tu.
 
Tembelea lodges utawapata kwa haraka sna
 
desperate woman daaah pole katoto, stress mbaya sana

all the best
 
Utafanikisha tu mkuu,unatakiwa uwe mchangamfu na mtu mnayekutana naye jaribu mazungumzo yako ya-focus future.Miaka inasogea hairudi nyuma,miili na viungo pia vinachoka ni bora kuanza mchakato mapema.
 
Ndo sisi sisi tupo huko kwenye maconseti , lodge sijui harusini ndo sisi sisi nakuambia changisha karata zako vizuri tuu mbona nipoo
Ameliaahau Hilo.
Utakimbia wanaume wa jf unakutana nao huko uendako

Jf sio localized enclave kwamba watu wake utawakwepa
 
Unakuja juu bidada Kuna jamaa HR666, anaweza kukusaidia ishu yako SI wengine tumepinda Zaid yake tumepinda kama ile dawa ya mbu ya kuchoma kwa mfano hapa tu yenyewe bila picha yako hatuamini chochote.tuekee picha
Hahaaa
 
hivi kumbe humu kuna watu huwa mnakuja serious kutafuta wa penzi ".. Aisee kweli mnahamu ya kupatwa kwa stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…