Humu naomba kitu kimoja

Humu naomba kitu kimoja

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,756
Wapendwa maisha yanaenda na umri pia.
Humu sioni kama kunamtu wakuonekana nope.
Humu watu hawapo ambao wapo serious wengi ni wanamatani na pia wameshachoka vitu vingi sana.
Nimeweka moyo na muda humu nikaja kutambua hili .
Humu ni kuchart tu kama umeboreka ila serious relationship ukitaka katafute kwenye mikusanyiko ya watu kama concerts ,harusi,hotels,lodges,meetings amd conferences humo ndio utampata mtu kwa maana hata first impression ni mnaonana ila humu wako watu wamechoka kweli.
So kama upo serious humu labda uwe mwanaume ndio watu watakuja ila demu ni ngumu.
As for me this is my rule naomba nisipendwe humu kimapenzi naomba tuchart tu.
Tuwe friends humu and thts it.
Sitaki mapenzi muda unaenda nataka nikasake mume mwenyewe nimuone anione sio niote wa jamii forum nitawaste my time zaidii.
Nataka familia na maisha ya songe .
Nawatakia asubuhi njema i am very serious .
Nilivyoumbwa nakuwekwa kwa mama Mungu alishanipangia wangu na hayupo humu pleasee.
All i need is friends only kupendwa siitaji humu i think people mmeniunderstand.
 
Wanawake wa kiafrika sijui kwanini wanapenda kuingia kwenye serious relationship wakati kule ulaya kuna hata friend of benefit. Kuna wakati wanaume hatutaki kuowa huwa tunataka kupunguza stress tu. Unakuta hela hatupati halafu kuna mwanamke kilaza anataka kukupelekesha kwa kuomba hela kila siku. Aahh acha tuwagegede tu

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ngoja nikuchane kidogo; mpaka unafikia hatua ya kuamini humu hakuna watu walio serious ni kwa sababu uliweka moyo na muda pole kwa yaliyokukuta, jifunze kuweka moyo na akili utapata matokeo chanya.

Unaamini serious relationship inapatikana kwenye mikusanyiko ya watu kama concerts, harusini, mahotelini, mara logdes sijui ndio zile nyumba za kulala wageni. Anyway, binti acha kuundanganya moyo wako, wewe unaweza kwenda hata kwenye nyumba za ibada pia kuna mikusanyiko ya watu na hicho unachokitafuta usikipate.

Mwisho nakupa tena pole kwa yaliyokukuta halafu na hao wanaume waliokuwa wanaonesha nia ya kukuhitaji wamenikera kweli.
 
Dah acha tu wakanisani wao wamerudi kundini sio hao nipo serious no kuchekea sana .
Siwezi tena kuwa na mtu humu hata iweje dah watu wanaishilia tu kukutesa
 
Unapoenda kwenye kiroba cha taka ukakuta manyoya ujue...?????
 
Dah acha tu wakanisani wao wamerudi kundini sio hao nipo serious no kuchekea sana .
Siwezi tena kuwa na mtu humu hata iweje dah watu wanaishilia tu kukutesa
Kama wew hujawahi kumtesa mtu, bas endelea kulaumu.
Lakin km ushawahi, hzo lawama zako ni matokeo ya mbegu ulizopanda mwenyew
 
Katoto kazuri nakuelewaaaa sanaaaaa tuuuu...
Naweezaaa kujaaa PM tuyajengeeeeeeeeeeee??
 
Nani akupende wakati hakujui????umeomtuona si vilaza sana!kwenda huko
 
Go on..... Malizia tu All men are sh**ty dogs.
Tushaona manyoya tayari
 
Back
Top Bottom