Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,364
1. Lini ulijaribu kunipa nikashindwa?Nanani sasa aliwe .
1. Mnapewa hamuwezi
2.mnanjaa hadi mpande kifuani
3.hamjiwezi njaa na kiu sasa utapiga nini hapo .
4. Kila saaa wewe unalia njaa ukiletewa chipsi za buku unakula kama nini.
Sasa ndio mnile kwanza mie sio nyama .
Nani awape nammechoka hivi
2. Mimi huyo?
3. Labda kama ni wewe una njaa sawa
4. Nani analia njaa kila saa?
Njoo Dom ukalie ukuni kuna 1M nitakupatia! Leo hii kama vipi, bado hujachelewa!!




