SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,989
Je humu kuna,wanaume kama hawa? Waliowakaaa
Mamboo ila hujawafikia kwa uhandsome kwa mvutooKwanini niwe kama hao ? Na mimi nitakua kama nani nikiwa kama hao?
Tafuta kile kijamaa kinachojiita kizuri kila siku humu🤣🤣 mimi ni mlevi tu humuMamboo ila hujawafikia kwa uhandsome kwa mvutoo
Na ndivyo wanaume tunapaswa kuwa bwashee 😅Humu ukituona wengi tuna fanana na wasira na makala
"Sweet-kande" anataka wazuri na wenye kuremba miandiko.Na ndivyo wanaume tunapaswa kuwa bwashee 😅
Bado ni kadogo akikua hata sisi walevi tunaopumua tu atatukosa shauri yake"Sweet-kande" anataka wazuri na wenye kuremba miandiko.
Ndipo atakapoamini kwamba akina Chakubanga halisi wapo hai na si katuni.Sura mchanyato halafu unamrudia usiku umeiremba kwa Hanson choice au Cognac mchangamko.Lazima akuite haniiii!Bado ni kadogo akikua hata sisi walevi tunaopumua tu atatukosa shauri yake
Nchi inazizidi USA na EU kwa uchumi,wahitaji hela za nini tena?Hamtaki hela tena?
Gademiiit , hapo lazima atubu tuNdipo atakapoamini kwamba akina Chakubanga halisi wapo hai na si katuni.Sura mchanyato halafu unamrudia usiku umeiremba kwa Hanson choice au Cognac mchangamko.Lazima akuite haniiii!
Watakua wanataka vyote uzuri mmoja wa hivyo huwa wanajionea huruma kutafuta pesa, gademiiit 😅Hamtaki hela tena?