Humu JF kuna watu mnajuana eeeh?

Hahahahahaaa jf kuna watu wanajua misimamo yao nilikua naona zile nyuz za kidin akina eshmael kiranga free ideas eiyer na wengine weng wanajuana kulingana na misimamo yao
 
Si useme tu wengine unaishi nao nyumba moja siku moja moja.
 
Kuna ninao wafahamu humu ila wao hawajui kama nawafahamu.


Ila sijawahi onana na mtu mwingine humu na sitegemei hilo.
 
Humu wamejaa watu wasiojulikana na wengi wanajuana.Pengine hata waliommiminia risasi Lissu wamo humu wanapeana ma like tu kwa kuchangia ujinga wanaoupenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…