Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 681
- 923
Kuna kitu umepungukiwa kwani?Humu jf kuna mtu mada za Siasa yeye yumo, mpira yumo, Mahusiamo yumo, music yumo,vita yumo, dini yumo, magonjwa yumo tena anaweza akakupa kitu na ukadhani labda ana Phd ya udaktari, migogoro ya kisiasa yumo yaani akichambua migogoro ya Marekani na urusi unaweza dhani labda amesomea ata diplomasia Daaaah wanajf mi nimenyoosha mikono,,, mfano mzuri ni mshana je na wengine yaani yeye kila jukwaa yupo na hakuna kitu asichokijua Daaaah 😱 kila kitu yeye anajua😂😂 afu kuna wale sasa yeye anasubiri mada iletwe jukwaani yeye apinge, halafu kuna huyu yeye anasubiri mada tu atukane au achokoze mtu waanze kuporomosheana mitusi.
Yaani nyie kila kitu mnajua
Kujua kila kitu so tatizo wala sio dhambi ila dhambi ni kuwa mvivu hutaki kujifunza na kufahamu mambo mbali mbaliHumu jf kuna mtu mada za Siasa yeye yumo, mpira yumo, Mahusiamo yumo, music yumo,vita yumo, dini yumo, magonjwa yumo tena anaweza akakupa kitu na ukadhani labda ana Phd ya udaktari, migogoro ya kisiasa yumo yaani akichambua migogoro ya Marekani na urusi unaweza dhani labda amesomea ata diplomasia Daaaah wanajf mi nimenyoosha mikono,,, mfano mzuri ni mshana je na wengine yaani yeye kila jukwaa yupo na hakuna kitu asichokijua Daaaah 😱 kila kitu yeye anajua😂😂 afu kuna wale sasa yeye anasubiri mada iletwe jukwaani yeye apinge, halafu kuna huyu yeye anasubiri mada tu atukane au achokoze mtu waanze kuporomosheana mitusi.
Yaani nyie kila kitu mnajua
Hatimae umerudia ID yako mamboSio ngumu mbona,
Tab moja unafungua jf, tab moja unafungua google, ukiona huelewi kitu unagoogle, unajibu mashambulizi...
Usikubali kupitwa kiboya, kuwa mbishi!
Hata darasani kuna wanafunzi huwa wanafaulu masomo fulani fulani na wanafeli masomo fulani ila kuna wale wengine kila somo ni kubamiza mabanda ya kutosha.Humu jf kuna mtu mada za Siasa yeye yumo, mpira yumo, Mahusiamo yumo, music yumo, vita yumo, dini yumo, magonjwa yumo tena anaweza akakupa kitu na ukadhani labda ana Phd ya udaktari, migogoro ya kisiasa yumo yaani akichambua migogoro ya Marekani na urusi unaweza dhani labda amesomea ata diplomasia Daaaah wanajf mi nimenyoosha mikono.
Mfano mzuri ni mshana je na wengine yaani yeye kila jukwaa yupo na hakuna kitu asichokijua Daaaah 😱 kila kitu yeye anajua😂😂 afu kuna wale sasa yeye anasubiri mada iletwe jukwaani yeye apinge, halafu kuna huyu yeye anasubiri mada tu atukane au achokoze mtu waanze kuporomosheana mitusi.
Yaani nyie kila kitu mnajua.
Wivu wa kike huu, tafuta KAZI ya kufanya Acha kujadili wanaume wenziomfano mzuri ni mshana je na wengine yaani yeye kila jukwaa yupo na hakuna kitu asichokijua Daaaah 😱 kila kitu yeye anajua😂😂 afu kuna wale sasa yeye anasubiri mada iletwe jukwaani yeye apinge, halafu kuna huyu yeye anasubiri mada tu atukane au achokoze mtu waanze kuporomosheana mitusi.
Pole sana Kwa kuwa serious na jf..Humu ni platform ya burudani kama Bar tuu.Humu jf kuna mtu mada za Siasa yeye yumo, mpira yumo, Mahusiamo yumo, music yumo, vita yumo, dini yumo, magonjwa yumo tena anaweza akakupa kitu na ukadhani labda ana Phd ya udaktari, migogoro ya kisiasa yumo yaani akichambua migogoro ya Marekani na urusi unaweza dhani labda amesomea ata diplomasia Daaaah wanajf mi nimenyoosha mikono.
Mfano mzuri ni mshana je na wengine yaani yeye kila jukwaa yupo na hakuna kitu asichokijua Daaaah 😱 kila kitu yeye anajua😂😂 afu kuna wale sasa yeye anasubiri mada iletwe jukwaani yeye apinge, halafu kuna huyu yeye anasubiri mada tu atukane au achokoze mtu waanze kuporomosheana mitusi.
Yaani nyie kila kitu mnajua.
Tuliza komwe umeulizwa?