magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,201
- 3,322
Mkuu Humphrey Polepole tangu tume ya mabadiliko ya katiba ilipovunjwa,ulishupaa sana kwenye media,majukwaa huru na hata kwenye mitandao ya kijamii.
Kila mtu mpenda haki alikusapoti kwa jinsi ulivyokuwa unajenga hoja na kutetea kazi yenu ya tume. Lkn kwa bahati mbaya sana ccm na vibaraka wake iliowateua kwenye bunge la katiba walikupuuza na si kukupuuza tu walikubeza na wengine walikutukana kisayansi na nna amini hata ww unajua km ulitukanwa.
Kwa sasa tupo kwenye kipindi cha uchaguzi mkuu wa nchi yetu. Tumekusikia tena jinsi ulivyoshupaa na Lowassa juu ya ufisadi wake. Kwa hili pia wananchi wamekusikia lkn suala la nani tumchague linabaki vichwani mwetu. Kifupi tumekusikia juu ya utakatifu wako na uchafu wa lowassa.
Me naomba unisaidie na watz wote nadhani wangependa kujua msimamo wako juu ya katiba mpya..! Kuna kitu sikielewi hapa,unaowapigania ndo haohao walioikanyaga rasimu yenu ya katiba.
Km hao walioikanyaga ndo unawashabikia,kelele zako zilikuwa nini wakati ule!!? Au zilikuwa hasira za kukataliwa kuingia ktk bunge la katiba!?? Maana hata babu yako nae tumemuona juzi akikaa meza moja na waliomtukana. Au shida yako ni ukuu wa wilaya??
Najua wewe ni member hapa na unapita kusoma,hebu njoo utusaidie.
Nawasilisha.

Last edited by a moderator: