Hizo sifa za huu ufafanuzi wako zimeandikwa wapi utuletee nasisi tusome huo ufafanuzi.Ni awamu ya sita kwa sababu kipindi cha pili awamu ya tano hakikufikia nusu ya muda wake kwa hiyo hakina sifa ya kuitwa awamu kwa maana hiyo Rais aliyepo kaanza awamu ingine ya sita
Kwa ujumla wake uongoxi wa SSH ni ule ule wa JK . Na kuna kila dalili hii ni familia mojaUna wadhifa gani hapo CCM na pia kwa utafiti gani mpaka ukayapayuka haya Mkuu?
Nikutakie Jumapili njema.
Mtangulizi aliguwa hagusiki, na ukijifanya unataka kujiuzulu Majambazi yake yalikuwa yanakushughulikia ipasavyo, Kiboko yake ilikuwa Covid tu, imemuondoa kwa aibu sana! Kwa waTZ ambao tupo nje tulikuwa tunaulizwa nyie ndiyo nchi ambayo Rais wenu alikuwa anaitukana Covid na ikamuua?Pengine kuiita awamu ya 6 ni kutaka kujitenga na maovu ya mtangulizi wake, lakini na yeye alikuwepo
Mwenye nchi ni Rais na Mkiti wa chama, nguvu zake ni kubwa mnoo! Kwanza huyo Polepole siyo CCM, Magufuli alimpandisha tu kiajabu, yeye na Bashiru hawana msingi wala watu wowote nchini wala chamani, na siyo wanasiasa wazuri kama tu alivyokuwa Baba yao. Wenye nchi kwa sasa ni wengine kabisa, na nguvu zao zilizoporwa kiubabe na akina Polepole zimerudi, ndiyo maana wanatamba kwa sasa, wakati Polepole yupo busy kuhojiwa Bona TV, Na kwa unafiki alioufanya awamu ya 5 hata wapinzani ambao walikuwa wakimsapoti kipindi cha madai ya katiba mpya hawana time naye kwa sasa! BTW akiulizwa kuhusu madai ya katiba kwa sasa anasemaje?Hiyo statement ni ya "wenye nchi" na si ya polepole. I know these people. They're very very smart. Mama awe makini tu.
Mlio karibu na Pole pole mshaurini akubaliane na ukweli kuwa zama zimebadilika na hivyo akae kimya sasa anapoelekea watu wataanza kumpuuza.
Ni kweli kabisa ajaribu kuangalia hapo kabla watu waliokuwa na mlengo kama wake walikuwa wakiwatendea nini?Kila mtanzania ana uhuru wa kujieleza Na uhuru wa kutoa elimu kwa Watanzania wengine! Ndo mana hata wewe umeweza kuchangia hapa, bila shaka [emoji1690] kakusoma Na kukusikia!
Hata wawe smart vipi... Kwa Katiba ya Tz raisi anamamlaka makubwa Sana na hakuna a naweza mu over power raisi tena akiamua atumie makali yake... Hao wanajichosha tu, wa najarbu lakini wajue Hawana io nguvu hata chembeHiyo statement ni ya "wenye nchi" na si ya polepole. I know these people. They're very very smart. Mama awe makini tu.
Unatetea ugali wako. Jiulize kama ulikuwa hujaajiriwa ni nini Hata ya maisha yako kwa awamu hii?Ni kweli kabisa ajaribu kuangalia hapo kabla watu waliokuwa na mlengo kama wake walikuwa wakiwatendea nini?
Ni ushahidi tosha kuwa huyu Mama ana hofu ya Mungu, kwasababu anachokifanya Pole Pole kama angekifanya enzi zile pengine leo tungekuwa na kampeni ya #Bringback....aache makasiriko atulie.
With all due respect Madam what do you mean?Unatetea ugali wako. Jiulize kama ulikuwa hujaajiriwa ni nini Hata ya maisha yako kwa awamu hii?
Unamkumbuka Delila ? Unamkumbuka samson?wa kweli bibilia? Unamkumbuka JPM ? Unamkumbuka SSH? Ukisoma hiyo historia utaelewa yaliyotokea.
Now you are talking!Hiyo statement ni ya "wenye nchi" na si ya polepole. I know these people. They're very very smart. Mama awe makini tu.
Wewe ni utopolo tu. Wewe wakati ulee ulikuwa upande wa nyumbu naona sasa eti umerudi CCM inaonekana ndiyo nyinyi mliokuwa majizi ndani ya CCM awamu ya tano mkavurushwa sasa mnajifanya kurudi. Hamtafauru hakuna kuiibia CCM tena!Ndg.Polepole anatutia aibu sana....
Amekuwa mropokaji asiye na FACTS bali HISIA zake za "obsessive compulsions" tu......
Polepole akubali zama hizi ni mpya....
La sivyo aendelee tu KUJITEKENYA 🤣🤣
Sio kwamba ww ndio umechoka mpaka matrakoni!! Polepole kaongea pointMliomuona utotoni hebu tuambieni hakuwahi kuugua kwashiakor kweli huyu? Mbona akili yake imechoka haraka tena ghafla hivi?