Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,128
Si hata sisi tulikuwepo?Pengine kuiita awamu ya 6 ni kutaka kujitenga na maovu ya mtangulizi wake, lakini na yeye alikuwepo
Hakuna mwenye nchi namba moja kumzidi Samia wala msitishe watu. Tumeona na kujifunza mengi chini ya AWAMU YA TANO.Hiyo statement ni ya "wenye nchi" na si ya polepole. I know these people. They're very very smart. Mama awe makini tu.
Lakini hatukuwa na nafasi ya maamuziSi hata sisi tulikuwepo?
Unaongea mambo shallow lakini yana mantiki.Hiyo statement ni ya "wenye nchi" na si ya polepole. I know these people. They're very very smart. Mama awe makini tu.
Na ilani ni ile ile!Nawasalimu kwa jina la Tanzania
Polepole amenukuliwa akisema kuwa katika awamu ya Tano aloondoka ni mtu mmoja tu MAGUFULI , lkn serikali ni ileile ,chama ni kilekile
hivyo hakuna awamu ya sita ,Tusiwe tunachanganya.
SWALI?
Wataalum humu ndani naombeni nielemishwe "kwahyo anachosema POLEPOLE ni sahihi " kwamba hii serikali anayoongoza mama ni ya Awamu ya Tano na si ya Sita na tumhesabia awamu ya sita 2025??
Na je?
ikitokea Mama asigombee awamu ya 2025 awamu ya tano itahesabika imetawala kwa miaka 10 ( vipindi vyote viwili)
kwa unyenyekevu naomba kuelimishwa maana kipindi hiki Tunachanganywa sana jmn!!! kila mtu ana lake jambo tunashindwa kujua which is which.
karibuni !
View attachment 2033387
... kwani determinant ya awamu ni uchaguzi? Sheria ya Awamu inasemaje (kama ipo)?Itaitwaje awamu ya 6 wakati hakuna uchaguzi
uliofanyika!?……………
Wabunge ni wale wale, speaker ni yule yule…….
Waziri Mkuu ni yule yule…..
Hakuna awamu ya 6 hapa acheni unaa…….
Pole pole yuko sahihi kabisa……..