Mwizukulu wa Buganda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2024
- 638
- 1,771
Akiongea kupitia Facebook, Humphrey Polepole amesema "Hata wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi wa 2020 kuna watu huko kwenye majimbo yao walianza kutaka baadhi ya majimbo fomu iwe moja lakini tulikataa kwasababu ni utaratibu wa Chama Cha Mapinduzi hauruhusu fomu moja"