TAWA JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 3,674 Reaction score 1,572 Jan 1, 2017 #41 MENGELENI KWETU said: Hakuna CCM kama hiyo Dunia hii. Click to expand... Na haitakuja kutokea mpaka kiama
MENGELENI KWETU said: Hakuna CCM kama hiyo Dunia hii. Click to expand... Na haitakuja kutokea mpaka kiama
B babrau Member Joined Nov 27, 2016 Posts 57 Reaction score 16 Jan 1, 2017 #42 Kuna mengi yanamsubiri kwenye Meza moja kubwa akishauri kukubaliana na Warioba kurudisha Katiba ya Wananchi bungeni na kuondoa katiba ya CCM.
Kuna mengi yanamsubiri kwenye Meza moja kubwa akishauri kukubaliana na Warioba kurudisha Katiba ya Wananchi bungeni na kuondoa katiba ya CCM.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,462 Jan 1, 2017 #43 tusionacho said: Toka TANU hadi Ccm miaka zaidi ya 55 wamefanya nini wasipotukana wataongea nini Click to expand... Kama huoni mafanikio?..basi umevuta cha arusha.
tusionacho said: Toka TANU hadi Ccm miaka zaidi ya 55 wamefanya nini wasipotukana wataongea nini Click to expand... Kama huoni mafanikio?..basi umevuta cha arusha.
U Umenitoa Gizani JF-Expert Member Joined Dec 3, 2016 Posts 387 Reaction score 182 Jan 1, 2017 Thread starter #44 Nafikiri kuna somo hapa kwa vyama na mashabiki wao tuache tuneno tuje na hoja. Siasa yetu inaelekea kubaya. Tuache shortcut za ukabila ukanda na kejeli za kujenga chuki use ccm cuf cdm tlp nk
Nafikiri kuna somo hapa kwa vyama na mashabiki wao tuache tuneno tuje na hoja. Siasa yetu inaelekea kubaya. Tuache shortcut za ukabila ukanda na kejeli za kujenga chuki use ccm cuf cdm tlp nk