Nimeamini ukiingia tu chama hiki unakuwa umejitoa ufahamu! Hivi kweli hajui kwanini wanachama wa chama chake hutukana kwenye mitandao na majukwaani? naomba nitumia jukwaa hili kumrudishia ufahamu wake japo kwa muda tu. Yako mambo 2 ambayo hufanya wanachama wa chama chako kutukana kwenye mitandao na majukwaa. 1. Uelewa mdogo (shule kiduchu) 2. Kupinga ukweli, unawezaje kupinga ukweli bila kutukana! Sasa ili waacha kutukana majukwaani na kwenye mitandao sio tu kuwaambia waache kutukana, inabidi waende shule na sio kwenda shule tu, ni kwenda shule na kuelewa. Pili waacha kupingana na ukweli!