Umenitoa Gizani
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 387
- 182
tupunguze fitna unafiki tuongeze kiwango cha kusema kweli
Kabla hata hajachangia nilitaka kumtaja, yaani kabla sijaandika akafanya yake kama kawaida yake. Binafsi simchukii Lupyee kwani bado natafiti ni mtu gani yeye ambaye kila uzi unaoanzishwa lazima achangie kwa matusi. Nikishamfahamu wala sitampa adhabu. Lkn nadhani watu kama hawa ndo msemaji wao amewatolea mfano wa matusi. Pia sishangai kwa sababu mtindo wa kupewa vyeo baada ya kutukana watu lazima uzalishe watu kama hawa.We jamaa umeuanza mwaka Kwa kuropoka.mkitaka kuamini angalieni michango yake kwenye threads mbali mbali m confirm ninachosema.punguza utoto/umuch know/pombe/dhambi
KWANI wewe ni lofa na mpumbavu?Huu ushauri aanze kumwambia aliyetuita wapinzani 'malofa na wapumbavu'