Humphrey Polepole teknolojia haidanganyi

Humphrey Polepole teknolojia haidanganyi

Hapo anawazungumzia wale wenye tamaa ya madaraka - wanaoacha kazi moja na kuomba nyingine.

Polepole yeye kajiuzulu ili asaidie kuelekeza mahali anapoamini atakinusuru chama (na serikali).

BIG difference!

Mnyonge, mnyongeni lakini haki yake mpeni!
 
Back
Top Bottom