frank matovu
Senior Member
- Jan 7, 2014
- 141
- 108
Nadhan muro amekula cha arusha
Mbona Lipumba hana mke wala mtoto lakini anapewa pesa nyingi na CCM tena cash toka Hazina kwa ajili ya kuisadia CCM ipumue na pressure za upinzani, Mtukufu yy huwapenda watu wasio na majukumu ya kifamilia ili wawe na mda mrefu wa kuitumika CCM kwenye nyanja za kudhoofisha Upinzani na kuwakomoa pamoja na kuwabambikia kesi kibao.CCM hatuwezi kumpa ukatibu mkuu mtu mhuni ambaye hana mke
Jerry muro mzee wa Nissan nyeupe 40 zake hazipo mbali sana, unyama wake wote upo wazi kwani Boss wake Le mutuz akishalewa Bar hutoa siri zote kwa michepuko.Nadhan muro amekula cha arusha
Za kunyapia eti inasemekana eti Jerry Muro sio jina lake (ni jina la marehem) na inasemekana eti yeye anatokea kanda ya ziwa kwenye kabila kubwa namba moja...Nimekuwa namfuatilia huyo jamaa toka akiwa Mtangazaji, akawa mtuhumiwa, msemaji Wa Yanga Kwa sasa sijui anafanya shughuli gani.Huyu jamaa inaonekana kuna kitu anakitafuta CCM Kwa nguvu zake zote ila Kwa sharti la kujitoa ufahamu Namshauri Siasa anazofanya za kuwataja watu bila ushahidi Wa kutosha zitamletea madhara makubwa. Mdomo wake ulimponza alipokuwa Msemaji Wa Yanga .Pia Namshauri asipende sana kujifanya anajua sana mambo ya watu akumbuke na yake yanajulikana ni suala la muda tu.
Sasa macho kodo anaishije au jogoo hawikiMbona Lipumba hana mke wala mtoto lakini anapewa pesa nyingi na CCM tena cash toka Hazina kwa ajili ya kuisadia CCM ipumue na pressure za upinzani, Mtukufu yy huwapenda watu wasio na majukumu ya kifamilia ili wawe na mda mrefu wa kuitumika CCM kwenye nyanja za kudhoofisha Upinzani na kuwakomoa pamoja na kuwabambikia kesi kibao.
He....[emoji134] [emoji134]Wajuzi wa mambo wanasema hana malinda kama yule swahiba wake!
Akili ya nyumbu imeishia hapa....kesho sijui watakuja na hoja gani ya kijinga!Yaani mpaka sasa kama Humphrey pole pole hujajua Jerry muro nini anakitaka basi ni cheo chako cha itikadi na uenezi Kama umeona uteuzi wa Juliana shonza Leo basi utakuwa umepata picha halisi kwamba ili Uteuliwe serikalini basi lazima uamshe dude kwa upinzani.
Sasa jerry muro ameshalijua hilo na ameanza rasmi safari ya Kutaka cheo chako Leo hii baada ya kuitisha ile press.
Sasa wee endelea kumuangalia akitekeleza majukumu ambayo chama chenu wanahitaji ufanye wewe Kama utabaki salama maana jiulize anapata ujasili wa kujiweka kifua mbele kwenye mambo ya kujibizana na upinzani? Muro anaitaka nafasi
Humphrey, nakwambia tena muro anataka ugali wako. Yaaani ume hustle kwenye harakati ukapata shavu alafu Leo hii mtu anakuingilia.