Humphrey Polepole stuka, Jerry Muro anamendea kibarua chako

Humphrey Polepole stuka, Jerry Muro anamendea kibarua chako

amos eglan

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
310
Reaction score
464
Yaani mpaka sasa kama Humphrey pole pole hujajua Jerry muro nini anakitaka basi ni cheo chako cha itikadi na uenezi Kama umeona uteuzi wa Juliana shonza Leo basi utakuwa umepata picha halisi kwamba ili Uteuliwe serikalini basi lazima uamshe dude kwa upinzani.

Sasa jerry muro ameshalijua hilo na ameanza rasmi safari ya Kutaka cheo chako Leo hii baada ya kuitisha ile press.

Sasa wee endelea kumuangalia akitekeleza majukumu ambayo chama chenu wanahitaji ufanye wewe Kama utabaki salama maana jiulize anapata ujasili wa kujiweka kifua mbele kwenye mambo ya kujibizana na upinzani? Muro anaitaka nafasi

Humphrey, nakwambia tena muro anataka ugali wako. Yaaani ume hustle kwenye harakati ukapata shavu alafu Leo hii mtu anakuingilia.
 
Yaani mpaka sasa kama Humphrey pole pole hujajua Jerry muro nini anakitaka basi ni cheo chako cha itikadi na uenezi Kama umeona uteuzi wa Juliana shonza Leo basi utakuwa umepata picha halisi kwamba ili Uteuliwe serikalini basi lazima uamshe dude kwa upinzani
Sasa jerry muro ameshalijua hilo na ameanza rasmi safari ya Kutaka cheo chako Leo hii baada ya kuitisha ile press
Sasa wee endelea kumuangalia akitekeleza majukumu ambayo chama chenu wanahitaji ufanye wewe Kama utabaki salama maana jiulize anapata ujasili wa kujiweka kifua mbele kwenye mambo ya kujibizana na upinzani? Muro anaitaka nafasi Humphrey
Nakwambia tena muro anataka ugali wako
Yaaani ume hustle kwenye harakati ukapata shavu alafu Leo hii mtu anakuingilia
Nakwambia tena muro anataka ugali wako
Umepiga utosini nadhani atashutuka maana bado kalala huyu polepole
 
hii ni njia ya kupunguza mashambulizi.
 
Back
Top Bottom