Humphrey Polepole: Salamu Zangu Kwako

Humphrey Polepole: Salamu Zangu Kwako

Siyo siri huyu bwana ananiimpress anavyojenga hoja!!!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
unampongeza mtu ambaye amenunuliwa kwa pesa kiduchu kweli kukiuka kiapo alichokula wakati anaapishwa kuwa mjumbe wa tume ya WARYOBA cha kutojiingiza kwenye siasa? huyu hana tofauti na YUDA
Hayo ni mawazo yako! Kama una ushahidi wa jambo unalolizungumza, mwaga hapa kama great thinker, vinginevyo watakuita mtu mwenye MAJUNGU!
 
Mungu akutangulie Polepole na yeyote anaepanga mipango mibaya juu yako ili akumalize, mipango yake yote imgeukie yeye.
 
Kaka hongera kwa uamuzi wako ila jipange katika swala la usalama tunaomba usilipuuzie na tutakuombea.

Pili usisite kuwa na ambition kwasababu watu kama wewe wanaofanya home work zao wamekuwa hadimu sana.

Tatu na muhimu Tengeneza video series ya nguvu uweke youtube na hata uuze dvd kwani itawaelisha watanzania kirahisi na unaweza kujipatia hela vile vile badala ya kuwatajirisha wenye vituo vya tv ambao hawajaweka mijadala ya kutosha kwakuiogopa serekali.

Mwisho ukifanya kazi ya nguvu utanga jina ambalo hutaitaji kufanya kampain kama ukitaka kugombea nafasi yoyote hata urahisi.

Asante kwa uamuzi wako wa kuwatete watanzania
 
Kwa taarifa polepole ni mwanachama mtiifu wa ccm, lakini penye maslahi ya taifa huwa hana unafiki.
 
Kwa taarifa polepole ni mwanachama mtiifu wa ccm, lakini penye maslahi ya taifa huwa hana unafiki.

Swali kwa nn ccm wamewabadilikia tume ya jaji Warioba?
 
unampongeza mtu ambaye amenunuliwa kwa pesa kiduchu kweli kukiuka kiapo alichokula wakati anaapishwa kuwa mjumbe wa tume ya WARYOBA cha kutojiingiza kwenye siasa? huyu hana tofauti na YUDA
Na sasa kapewa madaraka daaa watu walimwamini ila ccm wakamtwaa kama kipanga.
 
Back
Top Bottom