Humphrey Polepole njoo umalize huu mchezo wa kitoto (Hoja za CAG, Zitto na Mbowe)

Polepole- Kanjanja la kisiasa.
 
Polepole alinichekesha sana wakati JPM anapiga magoti nadhani ni njombe kule, Polepole alikuwa nyuma yake na alikuwa hana hata mpango wa kupiga goti, alivyoona JPM anapiga goti na yeye aliruka kwa speed ya ajabu kwenda kuungana na JPM kupiga magoti. Jamaa ana PhD ya Uchawa.
 
Hahaaaaa..........
 
Sasahivi hana nguvu tena
 
Kweli maisha yanakwenda kwa kasi mno, yaani leo hii CAG mpya, Yule wa zamani Assad, Mh. Mbowe na Zitto hawajajibiwa tu na huyu Mr. Polepole hadi muda huu? kweli?
 
Kiroboto wanalizana uko na ndugai mkuu wa sukumagang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…