denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,512
- 68,129
Ngumu sana kuvaa shati la rangi hiyo halafu ujigeuze mtetezi wake, hata uwe na elimu kubwa vipi hapo huwezi fanya kitu, bora ufunge mdomo tu utachora chora sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngumu sana kuvaa shati la rangi hiyo halafu ujigeuze mtetezi wake, hata uwe na elimu kubwa vipi hapo huwezi fanya kitu, bora ufunge mdomo tu utachora chora sana.
Mama hana time na wanafiki..mam hapendi hayo mambo ndiyo maana hajjibu anakwennda na upepo unapoeleke sisa ni timing
Polepole- Kanjanja la kisiasa.Humphrey Polepole mimi nakuambia ukweli kabisa kwamba unahitajika uwanjani kuja kumalizana na hoja za CAG, Zitto Kabwe na Freeman Mbowe.
Mbona mchezo huu kwako ni wakitoto tu na kwako unahitaji press conference moja tu ya dakika 45 kumzima CAG, Zitto na Mbowe.
Mbona kupindi cha Magufuli kulikuwa hakuna CAG yeyote aliyekuwa anakusumbua. Kipindi hicho ilikuwa CAG akiweka ugoko wewe unaweka jiwe. Lazima CAG avimbe.
Huyu Zitto na Mbowe kipindi cha Magufuli uliwamudu sana ilifikia hatua mpaka 'uliwanunua' madiwani wao na wabunge wao kwa bei chee sana. Sasa wameanza tena kufurukuta.
Mimi najua kwako hili ni suala dogo sana hebu piga press conference moja matata sana ambayo itatoa vumbivumbi hili lililotanda angani.
Au ni kweli haya ninayoyasikia kwamba wewe mwenyewe mguu nje mguu ndani?
Hahaaaaa..........Polepole alinichekesha sana wakati JPM anapiga magoti nadhani ni njombe kule, Polepole alikuwa nyuma yake na alikuwa hana hata mpango wa kupiga goti, alivyoona JPM anapiga goti na yeye aliruka kwa speed ya ajabu kwenda kuungana na JPM kupiga magoti. Jamaa ana PhD ya Uchawa.
Sasahivi hana nguvu tenaHumphrey Polepole mimi nakuambia ukweli kabisa kwamba unahitajika uwanjani kuja kumalizana na hoja za CAG, Zitto Kabwe na Freeman Mbowe.
Mbona mchezo huu kwako ni wakitoto tu na kwako unahitaji press conference moja tu ya dakika 45 kumzima CAG, Zitto na Mbowe.
Mbona kupindi cha Magufuli kulikuwa hakuna CAG yeyote aliyekuwa anakusumbua. Kipindi hicho ilikuwa CAG akiweka ugoko wewe unaweka jiwe. Lazima CAG avimbe.
Huyu Zitto na Mbowe kipindi cha Magufuli uliwamudu sana ilifikia hatua mpaka 'uliwanunua' madiwani wao na wabunge wao kwa bei chee sana. Sasa wameanza tena kufurukuta.
Mimi najua kwako hili ni suala dogo sana hebu piga press conference moja matata sana ambayo itatoa vumbivumbi hili lililotanda angani.
Au ni kweli haya ninayoyasikia kwamba wewe mwenyewe mguu nje mguu ndani?
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kuwa kinga yakeYeye mwenyewe hajui hatma yake ndani ya CCM! Kweli maisha haya ndugu zangu!!
Sasa hakirushwi channel 10?Ametelekeza kipindi chake Cha PAPO KWA PAPO
Kweli? Ngoja nifanye follow upAmetelekeza kipindi chake Cha PAPO KWA PAPO
Hakuna gari hivyo duniani?Hivi Polepole bado anatembelea V80 ...... !!
Polepole ndiyo anajua. Wanaitumia wanaCCM.......!!Hakuna gari hivyo duniani?
Hivi ile moja aliyokwenda nayo kichwani alishaitoa?
Kiroboto wanalizana uko na ndugai mkuu wa sukumagangHumphrey Polepole mimi nakuambia ukweli kabisa kwamba unahitajika uwanjani kuja kumalizana na hoja za CAG, Zitto Kabwe na Freeman Mbowe.