kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,493
NANI?Ashawahi kuwa Mbunge kwani ?
Walishajua kitambo kuwa Polepole mnafikiMwenyewe nashangaa kina Mwesiga Baregu kukaa kimya.
Kabudi yupi?Hongera ndugu Polepole.
leo Prof Kabudi yupo Zanzibar na yeye anafafanua rasimu.
PolepoleNANI?
I DON'T HAVE NO IDEAPolepole
Huu uzi ungefutwa, tuzo ya heshima hastaili tena kuipata sababu kawasaliti wananchi.Humphrey Polepole, mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amekuwa mstari wa mbele kutoa maelezo, ufafanuzi na kukabiliana kwa hoja na Wapinzani wa rasimu katiba iliyowasilishwa.
Kipekee nampongeza sana kwani tume ilikuwa na wajumbe wengi lakini wengine wako kimya ila Bwana Polepole amekabiliana nao na anaendelea kukabiliana nao dhidi ya upotoshaji, kwangu mimi Bw Polepole anastahili tunzo ya heshima.
Nawakaribisha wadau kwa maoni.
Vipi bado unamwelewa mpaka sasa?[emoji1]Humphrey Polepole, mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amekuwa mstari wa mbele kutoa maelezo, ufafanuzi na kukabiliana kwa hoja na Wapinzani wa rasimu katiba iliyowasilishwa.
Kipekee nampongeza sana kwani tume ilikuwa na wajumbe wengi lakini wengine wako kimya ila Bwana Polepole amekabiliana nao na anaendelea kukabiliana nao dhidi ya upotoshaji, kwangu mimi Bw Polepole anastahili tunzo ya heshima.
Nawakaribisha wadau kwa maoni.
Nachoelewa sekondari alisoma Azania akaondoka na Division O mwaka 1999 o-level hiyo.Ninachojua huyu alisoma mbuyuni prymary school huko kwengine sifahamu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app