Nanukuu: 'Sijui kwa nini mtu anakuwa mzuri, muadilifu lakini akichaguliwa tu kuwa waziri wizara ya Niashati na Madini anageuka na kuwa ovyo'
Sasa Ndugu yetu Polepole kubadilika mimi sijui asije akataka nikamatwe niwekwe ndani.
LAKINI unajua Ikiwa CCM ni kama gunia tupu la mkaa, ukiingia ndani lazima utakuwa mchafu kama gunia.
Na tusishangae akageuka kabisa na kusema anaunga mkono serikali Mbili kwenye Katiba Mpya ya JMT.