Pole pole alifanyiwa operation ya ubongo...wakati wa hiyo operation walifuta kumbukumbu zake zote za nyuma na wakampandikiza kimemory cha madaraka na pesa hivyo yeye kila anachokifanya anapigania madaraka yake na pesa tu......wengine tutakasilika ila yeye malengo yake ya kuapat pesa na madaraka yanazidi kutimia