Mpumbavu sana kama huyu pamoja na kusoma upupu mwingi lakini hajaaliemika
Siamini kuwa mbele ya mahojiano na chombo cha habari anawaambia kuwa huwa anarogwa na uchawi upo ?
Si kweli ni mkatoliki. Fanya home work yako vizuri.
Kwanini kila hoja inapoletwa inaelekezwa kwenye dini? Waswahili wanasema, lakuvunda halina ubani. Uongozi unata mtu mwenye uwezo. Tusifikiri individual failures zitaleta taharuki za udini.
Mtu akifeli, amefeli. Wajinga wanatetea kwa hoja muflisi za udini