Humphrey Polepole ndani ya Tabora leo

wa upande wa pili wakitaka kuongea na wanachuo, wanakatazwa. Utasikia mitahira michache inasema "wawaache wanafunzi wasome wasichanganye shule na siasa". Nyie CCM kucheza game fair hamuwezi hadi mbebwe na waamuzi (Polisi, TISS, Tume, Wakuu wa wilaya nk)
 
CCM MBELE KWA MBELE!

Darasa la itikadi linaendelea ndani ya ukumbi wa UHAZILI TABORA CHUO CHA TPSC.

Wanyamwezi ni wepesi sana. Huo ukumbi hata ujar wabobezi kama Prof Lipumba huyo form six failure lazima awashikie chini
 
Back
Top Bottom