Humphrey Polepole, jitoe ubunge kama una nia njema

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,606
8,744
Polepole ni kati ya wale vijana ambao walifikiri wana nguvu kuliko walionayo. Sasa amefikia wakati eti wa kutoa elimu ya uongozi!! Elimu gani ya uongozi?

1. Kwenye tume ya katiba kwanza alienda kama watu wa NGOs ambao wanasubiri pesa za misaada ya nchi nyingine. Hakuna uongozi wa maana utapata hapa zaidi ya mission za kupata pesa na kuandika maombi ya pesa kwa nchi za magharibi

2. Ukuu wa wilaya hakuna cha kuonyesha

3. Katibu uenezi ndiyo wa kununua wapinzani hakuna la maana la kuonyesha na ndiyo maana Rais Samia alimtoa.

4. Yaani walikuwa wanataka Magufuli awe dikteta kama Rais wa China mpaka pesa za chuo cha siasa za kichina waliomba.

Leo hii eti anatoa elimu za demokrasia 😂

Ukweli ni kwamba Polepole ana njaa kali na kama kweli ana nia njema basi aache ubunge na kuwa mwanaharakati kama Ulimwengu. Lakini ili watu wamwamini aache kuwa kinyonga kila siku na kubasilisha maneno.
 
Polepole ni kati ya wale vijana ambao walifikiri wana nguvu kuliko walionayo. Sasa amefikia wakati eti wa kutoa elimu ya uongozi!! Elimu gani ya uongozi?

1. Kwenye tume ya katiba kwanza alienda kama watu wa NGOs ambao wanasubiri pesa za misaada ya nchi nyingine. Hakuna uongozi wa maana utapata hapa zaidi ya mission za kupata pesa na kuandika maombi ya pesa kwa nchi za magharibi
2. Ukuu wa wilaya hakuna cha kuonyesha
3. Katibu uenezi ndiyo wa kununua wapinzani hakuna la maana la kuonyesha na ndiyo maana Rais Samia alimtoa.
4. Yaani walikuwa wanataka Magufuli awe dikteta kama Rais wa China mpaka pesa za chuo cha siasa za kichina waliomba.

Leo hii eti anatoa elimu za demokrasia 😂!. Ukweli ni kwamba Polepole ana njaa kali na kama kweli ana nia njema basi aache ubunge na kuwa mwanaharakati kama Ulimwengu. Lakini ili watu wamwamini aache kuwa kinyonga kila siku na kubasilisha maneno.

Sio kinyonga bali ni Kiroboto kinachoruka huku na kule.--- by mzee wa bao la mkono.🤣
 
Ametapeli sana wafadhili kupitia NGO, huu ni uhuni tosha, yeye na Bashiru waliandaa mgombea wao wa Urais, Makamu na Waziri Mkuu, walisubiri chaguzi ndani ya CCM 2022, ili wawakate maadui zao, wajiimarishe kisiasa, pia wavute Hela za wagombea, Mungu akafanya yake
 
Polepole ni kati ya wale vijana ambao walifikiri wana nguvu kuliko walionayo. Sasa amefikia wakati eti wa kutoa elimu ya uongozi!! Elimu gani ya uongozi?

1. Kwenye tume ya katiba kwanza alienda kama watu wa NGOs ambao wanasubiri pesa za misaada ya nchi nyingine. Hakuna uongozi wa maana utapata hapa zaidi ya mission za kupata pesa na kuandika maombi ya pesa kwa nchi za magharibi
2. Ukuu wa wilaya hakuna cha kuonyesha
3. Katibu uenezi ndiyo wa kununua wapinzani hakuna la maana la kuonyesha na ndiyo maana Rais Samia alimtoa.
4. Yaani walikuwa wanataka Magufuli awe dikteta kama Rais wa China mpaka pesa za chuo cha siasa za kichina waliomba.

Leo hii eti anatoa elimu za demokrasia !. Ukweli ni kwamba Polepole ana njaa kali na kama kweli ana nia njema basi aache ubunge na kuwa mwanaharakati kama Ulimwengu. Lakini ili watu wamwamini aache kuwa kinyonga kila siku na kubasilisha maneno.
FB_IMG_1640547243028.jpg
 
Back
Top Bottom