Humphrey Polepole: "Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire'

Humphrey Polepole: "Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire'

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Wakuu!

Humphrey Polepole amesema alijiuzulu Ubalozi wa Cuba ili awe huru kuzungumza kwamba kuna tatizo kubwa katika Taifa letu na sio dhambi kujirekebisha.

Sasa leo saa 2:00 usiku usikae mbali nami hapa nitakuletea kila atakachokizungumza.

Updates... Polepole

Utamaduni, desturi na katika ya Chama cha Mapinduzi Rais Samia hatakiwi kupeperusha bendera ya CCM kipindi hiki kwa msingi kuwa amekuwa Makamu wa Rais, Mungu akampromote kuwa Rais, tunapokwenda kubadilisha awamu tunakwenda kusema tumewaletea hawa, tutakimbia kwa mwendokasi huu.

"Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire', tunataka mtu ambaye anchukizwa na ulegelege huu"

, Salamu ya 'Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.... Kazi iendelee!' inamkiuka Mungu

"Ni Haki ya kila mmoja kugombea lakini haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi."

Wakuu!

Humphrey Polepole amesema alijiuzulu Ubalozi wa Cuba ili awe huru kuzungumza kwamba kuna tatizo kubwa katika Taifa letu na sio dhambi kujirekebisha.

Sasa leo saa 2:00 usiku usikae mbali nami hapa nitakuletea kila atakachokizungumza.

Agenda yake kubwa ni CCM itafute mgombea mwingine badala ya Samia. Yaani Polepole anawachapa CCM viboko vya juu ya kiuno tu, wakishika kiuno anafuta anaanza upya. #KataaWahuni #NoReformsNoElection2025
 
Tangu miezi mitatu iliyopita tumesoma humu Habari za kila aina
Mara mwezi ujao kuna mtu anatuaga, mara ooh kuna habari mbaya sana mwezi wa Saba
Hata mwezi wa nane waliandika kuwa mambo mengi yatatokea.
Ila hakuna anaejua kesho
Na hili Acha tusubiri nchi isimame maana siku zinaenda mbio sana
 
Back
Top Bottom