Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,315
- 18,010
H Polepole alishatusanua, tatizo la nchi hii siyo mabeberu ni ccm mtandao.
1. Ndiyo maana Singa singa wa Iptl alitolewa harakaharaka na kulipwa billioni 349 za kodi za watanzania kinyume kabisa na agizo la bunge.
2. Ndiyo maana wabunge wote waliokuwa wanahoji kuhusu masilahi ya taifa na kuibua ufisadi wameondolewa bungeni, mfano Ummy Mwalimu, Ole Sendeka, Luhaga Mpina, Kunambi etc. Wabunge
hawa hawajapigwa zengwe na mabeberu mbali na ccm mtandao inayoongozwa na Jakaya Kikwete.
3. Ndiyo maana sasa hivi ukiyataja mafisadi kama Angella Kizigha, Rostam Aziz au kuibua ufisadi ni hatari kwako, badala ya Rais kuagiza mafisadi yachunguzwae kitatumwa kikosi kije kukuteka wewe uliyeibua ufisadi.
4. Ndiyo maana Rais anajua kuwa kuna kiwanda cha mbolea Kibaha kinachozalisha mamilioni ya tani ya mbolea na vifaa vya kilimo lakini bado wizara ya kilimo inaagiza mbolea nje ya nchi. Wizara ya kilimo hajazuiwa kununua mbolea Kibaha na mabeberu mbali na ccm mtandao
5. CCM mtandao kwenye masilahi yao wako tayari kuingia mikataba ya hovyo na wawekezaji wa nje ya nchi kwa kisingizio kwamba wanalinda mahusiano na kufungua nchi ila wananchi wakisimama kutetea rasilimali zao wako tayari kutumia bunduki kuwauwa bila kuogopa nchi kutengwa kwa kukiuka haki za binadamu.