Humphrey Polepole ‘awashukia’ Kinana na Makamba

Muda utaongea si ndio mmeanza sasa kumsulubu.... Tusishangae mkaanza kuhoji na uraia wake
Hahahaaaa........ pale Songea wengi siyo watanzania angalia hata majina yao tu!

Mapunda, Komba, Ngonyani na huyo ulimuanzishia uzi......so hawawezi kufika huko!
 
CCM ni genge la wezi tu CHADEMA ni taasisi ya wachaga Zitto Zuber Kabwe Ni mtumishi halali wa St Peter Bora turudishiwe Magavana miaka 59 ya Uhuru kila siku tu narudi nyuma tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa mchango Kada mzoefu, naona sasa Bashiru, Kitila, Polepole na Msando ndio ma alwatani ya chama.
Ccm ni taasisi mkuu si kama chadema kwamba akitoka mbowe chama kina kufa .

Hao kina Kinana ni sawa na samaki akitoka kwenye maji anakufa.

Ninacho kiona hapa ni wapinzani kupumbazwa na haya yanayoendelea ccm kana kwamba ndio yafafanya washinde uchaguzi. Yani hawajiulizi kwanini haya hutokea kila unapokaribia uchaguzi?

Kingine unaweza kukuta huko ccm kuko shwari kabisa na hakuna hata ugomvi. Ila ni njia ya kuwapoteza kwenye reli wapinzani, na walivyo wajinga na wepesi wa kudandia mambo tayari wameingia kingi. Yani sasa hivi wameshajiaminisha kina Kinana na Membe watamtoa Magu asigombee 2020.

Sasa unajiuliza ccm wakimtoa Magu wakamweka mwingine sijui ndio wapinzani wameshinda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
POLEPOLE JIFUNZE KUNYAMAZA HAO SI VIJANA WENZAKO NI BABA ZAKO, CHEO KWENYE CHAMA KISIKUTIE KIBURI.
Hapana acha awatukane tena aongeze matusi kwa kadri iwezekanavyo ili hao wazee wajute kwa waliyotufanyia 2015.

Polepole nakushauri umuongeze Musiba,Kibajaji,Musukuma kwny team yako ya watukana matusi tena mtukane yale matusi mazito zito kwa hao wazee hadi akili ikae sawa bin sawia.

dodge
 
Enzi na Enzi gani Waziri mkuu alipotumwa na Rais kwenda bandarini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah Kinana mwizi sana,kontena 700 bado meli yake ikakamatwa na meno ya tembo daah kutafuta mtu msafi CCM ni sawa na kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi.

dodge
 

Huyu anatumika vibaya bila yeye kujua kuwa anatumika.
1: Atueleze yale makontena yaliyodaiwa kuwa ni yamakonda yaliishia wapi na kodi ililipwa kiasi gani pamoja na kwamba boss wake alitoa tamko?

2: Nafasi aliyonayo kwa sasa, hao anaowatuhumu walisha itumikia kwa muda mrefu na kwenye nafasi kubwa zaidi. Hivyo asidhani kuwa atakaa hapo milele. Akisha tumika hatabaki salama.
 
Nchi ya wanyonge na masikini...hizi ndizo habari za kuongea mbele yao huku uchumi wao ukizidi kudidimia na watawala wanajisifu kuongoza wanyonge na masikini ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaa...........Wasiwasi wangu ni je huyo Kinana ana uvumilivu wa " kutukanwa" kama Lowassa?
Kama hawezi kutukanwa ana OPTION gani nyingine?

Nakumbuka Makamba Snr. alivyomtukana Lowassa pale Moro kwny kampeni za 2015 huku Kinana akiwa pembeni akicheka cheka nakuja kuamini siasa ni udwanzi.

Leo Lowassa na Magu wako fresh huku Kinana&Makamba wanasubiri kutafunwa.

dodge
 
Dhahiri muda wa kuonekana tabia za fisi kula fisi, umefika...😅
Fisiem mbele kwa mbele


Everyday is Saturday...................😎
 
Lowasa anawacheki tu kwa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…