Maigizo matupu eti Polisi Wamewahi, Kwani Polisi Wanalinda Nyumba yake. Mbona Polisi hao hao Wanashindwa kufika haraka Vituo
vyao Vinapovamiwa Leo imetokea Miujiza gani hadi kufika Haraka kwa HP. Kama Siku Hizi Huyu HP Analindwa Na Polisi Hapo Maswali
yatapungua Lakini Kama Sio basi Huu Utakuwa Ni Usanii mtupu, Kama Kuwatumia Wasanii Wakati Wa Kampain za Kisaii. Fanyeni
Campaign hacheni kutengeneza Matukio. Watu Wengi Wameuawa Na Majambazi Including Dr. Mvungi, Hakuna lolote Leo Hii Sinema
Hizi Hazieweki Baodo. Watanzania wa Leo Wanajua Kuconnect Dot Moja Na Nyingine.