Humphrey Polepole atakuwa channel 10

utakuwa mburura basi, kama mpaka sasa washabikia fisadi lowasa

 
wanawajulisha wa tanzania wajue uzandiki, ufisadi, efedhuli wa lowasa. Na kwamba ni mtu haaminiki, isiposemwa atatumia huo mwanya kuwahadaa wananchi kwa sanaa zake

.... hivi wanavyomsema hivi hawajui wanamuongezea na kura zingine za huruma?
 
huyu Polepole hiyo Channel 10 ana mkataba nayo mbona kila cku tumemchoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…