Humphrey Polepole atakuwa channel 10

Humphrey Polepole atakuwa channel 10

njeeseka

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,374
Reaction score
985
Nadhani kati ya watu jasiri nchini, huyu polepole ni mmoja wao. Nakukubali sana tutakuwepo kusubiri maziwa tuondoe sumu..
 

Attachments

  • 1441380246999.jpg
    1441380246999.jpg
    56 KB · Views: 1,678
Njeeseka na polepole ni kama copy n paste.
 
wasiotumia akili ndilo kundi pendwa na chama cha mapinduzi i nadhan HP ni mmoja wa watu wa kundi hili pendwa kwa ccm
 
sijui nimelogwa. kwani wanavyo mtukana Lowasa ndiyo mimi na zidi kumpenda. kura yangu anayo hata wasemaje. Lowassssssaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Saafi sana mwaka huu mpaka watu waseme pooooo ..saa ngapi wakuu?
 
Aeleze na Dr.mihogo slaa alivyopewa rushwa na akiri kuungamkono katiba pendekezwa ya ccm
 
Hiyo ndio demokrasia tunayoipigia kelele kila siku, inabidi tuwe tayari kusikia hata kile tusichopenda na kurekebisha pale penye mapungufu. Polepole tutamsikiliza na yale mapungufu atakayotumbia tutayafanyia kazi kwani kuchukua nchi ni lazima kwa wapinzani. Tunasikia na Slaa naye atakuwa Star Tv saa 3 usiku huu. Tunawaomba wote wapate airtime ya kutosha pamoja na ile team ya kampeni ya watu 32 wa ccm kwani itatusaidia sana kueleza mapungufu na yote tutayafanyia kazi baada ya kuapishwa kwa rais wa upinzani kwani itakuwa serekali sikivu.
 
Huyu mnafiki Polepole amekosea alitakiwa aende star tv akashirikiane na Babu Slaa kupiga soga za Richmond.
 
Siangalii
Hah hah unaogopa ukweli angalia bana,kutoangalia hakusaidii kitu,Polepole ataronga tu hata kama hutaangalia.leo burudani tosha Dr ataanza saa 3.30 Star Tv,saa 4 anakuja Polepole kamanaangalia Arsenal ikiifunga Man U vile.
 
Juzi alikuwa na mwansheria Msando Clouds TV alihenyeshwa sana. Yaani alibakia kucheka Cheka tu.
 
Fisadi,kapi,lofa,mpumbavu hyo ndie rais wetu tunampenda na watanzania tumeamua kumchagua kwani anayo nia ya kweli kuleta mabadiliko Tanzania. Bora fisadi mmoja kuliko rundo la mafisadi,chaka na pango la wezi(ccm). Tupo pamoja na Lowasa mpaka magogoni.
 
Back
Top Bottom