Humphrey Polepole ana ndimi mbili

Humphrey Polepole ana ndimi mbili

Alikuwa ana nuru na afya nzuri kweli kabla hajawa na ndimi ya pili, maskini sasa anachakaa kwa sababu nafsi inamsuta ila njaa inamuuma afanyeje? Kawa kama mtu alieigiza ile filam ya bush man, njaa inauma halafu inauma vibaya sana.
 
Huyu Mweshimiwa alishawahi kusema uchaguzi ukiwa wa huru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi Madaraka! inamaana hapa Nchi hakuna uchaguzi wa huru na haki?

Sijaelewa Siasa zetu zipoje? Tizame video hiyo fupi ambayo ilisambazwa sana kipindi cha uchaguzi 2015
Ukitaka kujua tabia ya mke, mjaze manoti.
 
Wakina Lema wangekabidhiwa nchi hii (wenyewe wanaiita nji)watanzania tungeuzwa mnadani mchana kweupee!! Mimi hata sioni sababu ya tume huru ya uchaguzi mpaka wapatikane wapinzani wastaarabu.
Lema anaingiaje kwenye huu uzi?
 
Wakina Lema wangekabidhiwa nchi hii (wenyewe wanaiita nji)watanzania tungeuzwa mnadani mchana kweupee!! Mimi hata sioni sababu ya tume huru ya uchaguzi mpaka wapatikane wapinzani wastaarabu.
Unataka wapinzani wastaarabu ili uendelee kupata hizo buku bukuee
 
Polepole hana tofauti na waliosema ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa
 
Njaa mbaya sana leo mwambia anakumbuka hicho alikuwa anasema?
 
Polepole hana tofauti na waliosema ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa
Uchaguzi ukiwa wa huru na haki CCM wajiandae kuondoka madarakani Katibu mwenezi wa CCM Pole pole ni maoni yako kuhusiana kauli hiyo?
 
"Tena mniache kabisa, mimi sina kawaida ya kuongea wakati wa kula"

[HASHTAG]#KunywaMajiMwanangu[/HASHTAG]
 
Usimwamin mwanasiasa
Rejea kauli za hawa watu kabla ya march 2015
Mbowe
Lisu
Msigwa
Lema
Ndo utajua kama wana ndimi mbili au tatu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Malnutrition haijawahi muacha MTU Salama...Na ukiwa kijana mwenye akili timamu kabisa alafu ukawa mwanachama wa CCM na bado ukategemea fadhira za uDC,RC au DED basi utapiamulo wa akili hautakuacha salama na Abadani hautakua consistency ktk fikra zako Leo hili kesho lile ili mradi ucheze ngoma ya Mwenyekiti wako...
 
Back
Top Bottom