Humphrey Polepole ana ndimi mbili

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
14,654
11,643
Huyu Mweshimiwa alishawahi kusema uchaguzi ukiwa wa huru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi Madaraka! inamaana hapa Nchi hakuna uchaguzi wa huru na haki?

Sijaelewa Siasa zetu zipoje? Tizame video hiyo fupi ambayo ilisambazwa sana kipindi cha uchaguzi 2015
 
Attachments

  • Polepole ccm ijiandae kukabidhi.mp4
    235.8 KB · Views: 75
Muombe Radhi pole pole ila next time ukae ukijua kuna tofauti ya kauli unapokuwa juani na unapokuwa kwenye AC au kivulini ndugu yngu kile kilikuwa Kipindi cha njaa ss neema tupu muache atuonyeshe rangi ya Asili yke
mkuu umemalia kabisa na hapatakuwa na jibu sahihi zaidi ya hilo.
 
Wakina Lema wangekabidhiwa nchi hii (wenyewe wanaiita nji)watanzania tungeuzwa mnadani mchana kweupee!! Mimi hata sioni sababu ya tume huru ya uchaguzi mpaka wapatikane wapinzani wastaarabu.
 
Wale jamaa Awapiti Hapa
 
Attachments

  • Polepole ccm ijiandae kukabidhi.mp4
    235.8 KB · Views: 33
FB_IMG_1485248967213.jpg
 
Wanasiasa wengi si wakuwaamini lkn polepole ni mtu hatar sana ni mtu mjanjamjanja flan hivi hupaswi kumwamin sana maana kesho atabafilika tena. Mashabiki weng aliwapata aliposimama imara kutetea katiba mpya..leo hayupo uko...
 
Muombe Radhi pole pole ila next time ukae ukijua kuna tofauti ya kauli unapokuwa juani na unapokuwa kwenye AC au kivulini ndugu yngu kile kilikuwa Kipindi cha njaa ss neema tupu muache atuonyeshe rangi ya Asili yke
Nimeipenda sn comment hii
 
Muombe Radhi pole pole ila next time ukae ukijua kuna tofauti ya kauli unapokuwa juani na unapokuwa kwenye AC au kivulini ndugu yngu kile kilikuwa Kipindi cha njaa ss neema tupu muache atuonyeshe rangi ya Asili yke
huku uswaz tunasema muache apate pesa tujue tabia yake!!
 
Back
Top Bottom