Humphrey Polepole afunguka, Maaskofu semeni tu

Hiyo clip ni ya mda sana!Kipindi kile anajibu ya kakobe.Bavicha kwa kukuza mambo na kuendeleza mijadala isiyo na tija wanapenda sana.
 
Maaskofu Hawa walishikwa kichwa na mbowe ziro watalipeleka taifa kubaya na matamko ambayo hata hawakubaliani
Changia kwa staha ndugu yangu.Usiwadhihaki watumishi wa Mungu.Kwa taarifa yako hawa ni wapakwa mafuta.
 
polepole hajielewi badala ya kujibu hoja anazunguzmia kuungama jinga kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…