galaw
Member
- Oct 1, 2016
- 13
- 29
Ndugu Watanzania,
Kufuatia kuteuliwa kwa bwana Polepole ktk nafasi ya katibu wa Itikadi na Uenezi ccm taifa ni kukalibisha mabadiliko mengine ndani ya ccm kwa hoja zifatazo,
1. Polepole ni mtu mwenye kufanya tathimini pana ya mambo kabla ya kuyasema na kuamua. Ni mtu mwenye kusema kile kinachoaminika ni sahihi pasipo kujali atawafurahisha au kuwachukiza akina nani. Ni mtu mwenye fact kuliko porojo ukilinganisha na mtangulizi wake ktk nafas hiyo.
2. Polepole ni mtu ambae hakuwa ktk siasa za makundi ndani ya ccm hvy anapata nafas hii km mtu huru yani asiyeegemea kundi lolote ukilinganisha na wana ccm wengi waliokuwa wakijiendesha kwa makundi ndani ya chama kimoja. Hivyo ataisimamia na kuisemea ccm badala ya kuwasemea watu fulani km ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.
3. Polepole ni mtu anaendana kimtazamo na mwenyekiti wa ccm taifa hvy hii ni nguzo mhmu kwao kupika chakula kinachohitajika na walaji tofauti na zamani walaji walilazimishwa kula chakula wasichokita kwani wapishi ndiyo walioamua nini cha kupika pasipo kuangalia mahitaji ya walaji.
Kiujumla Polepole ataleta mageuzi makubwa sana hasa namna ya kuwasilisha hoja za chama na utetezi wa chama kwa umma kwani mantiki kwa polepole ni mhimu sana kuliko polojo. Hivyo tunategemea atawabadilisha pakubwa sana namna ya kutetea hoja za chama. Chama lazma kijijitetee kwa kutimiza wajibu wake kwa wanachama na serikali yake. Japo changamoto kubwa kwa Polepole ni namna mazingira ya siasa yalivyo kwa sasa.